Wednesday, March 6, 2013

MICHEZO

HATIMAYE TFF YAUFYATA: SERIKALI YAIAGIZA KUANDAA MKUTANO MKUU KUFANYA MAREKEBISHO YA KATIBA NDANI YA SIKU 40 NA KUANDAA UCHAGUZI MKUU UPYA

 Taarifa za ndani kutoka kwenye chanzo cha kuaminika ni kwamba kikao cha serikali kupitia wizara ya habari na michezo na shirikisho la soka nchini kuzungumza juu ya suala la serikali kuondoa usajili wa katiba mpya ya TFF kimeishia kwa serikali kuliagiza shirikisho hilo kuwataarifu wanachama juu ya mkutano mkuu ndani ya siku 5 zijazo, na kuandaa mkutano wa kufanya mabadiliko...Read More

CRISTIANO RONALDO ANAWEZA AMERICAN FOOTBALL - AKIRI REGGIE BUSH

Katika kusherehekea kutimiza miaka 28 ya kuzaliwa kwake siku ya jumamosi iliyopita, mchezaji wa timu ya mchezo american football Red Bull Reggie Bush alipewa ofa ya kwenda kuangalia El classico nchini Spain kati ya Real Madrid na Barcelona. Real Madrid wakashinda 2-1 kwenye uwanja wao wa nyumbani Santiago Bernebeu, lakini walishindwa kumzuia Messi asifunge goli ake la 39 kwenye La Liga....Read More

No comments:

Post a Comment