Azam FC na Yanga zavunja rekodi ya mapato, 240 Milioni zakusanywa, wengi wakosa tiketi
MECHI namba 120 ya Ligi Kuu ya Vodacom iliyochezwa jana (Februari 23
mwaka huu) kwenye Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam na kumalizika kwa Yanga
kuibuka ushindi wa bao 1-0 dhidi ya Azam imeingiza sh. 239,686,000.
No comments:
Post a Comment