
Na Edo Kumwembe
BAADHI ya mastaa wa kikosi cha kwanza, Simba (majina tunayo)
wamesema hawana imani na mbinu za Kocha Mkuu Patrick Liewig na hilo
limethibitika zaidi katika mchezo wao wa Angola.
Mwishoni mwa wiki, Simba ilishambuliwa na kipigo
cha mabao 4-0 kutoka Recreativo Libolo ya Angola katika mchezo wa
marudiano Ligi ya Mabingwa Afrika.
Matokeo hayo yanaifanya Simba kuaga mashindano
raundi ya...
Read More
Neymar amesema kwamba anaweza kwenda kucheza soka barani ulaya hata
kabla ya mkataba wake na Santos unaoisha baada ya kombe la dunia mwakani
kuisha.
Mbrazil huyo amesema kwamba ana furaha kuwepo Santos lakini anaweza
kuondoka ikiwa atajisikia yeye binafsi kwamba ni kitu sahihi kukifanya
kwa muda huo.
Mpaka sasa, Neymar amekuwa akiripotiwa kwamba hatoondoka Santos mpaka
kuisha kwa 2014 World Cup litakalofanyika...
No comments:
Post a Comment