![]() |
| Mpira upo nyavuni |
![]() |
| Mfungaji wa bao la Toto akipongezwa na wewnzake |
![]() |
| Kocha wa Simba, Milovan Cirkovick akiangalia saa yake dakika zikiyoyoma timu yake imelala |
![]() |
| Wachezaji wa Toto wakinywa maji |
![]() |
| Hatari kwenye lango la Toto |
![]() |
| Komabil Keita wa Simba akionyesha ubabe na Suleiman Kibuta wa Toto. walitaka kupigana |
![]() |
| Okwi anateleza |
![]() |
| Cheki jamaa alivyomkaba Sunzu |
![]() |
| Kiemba anateleza |
![]() |
| Okwi katika mishe |
![]() |
| Ulinzi mkali |
![]() |
| Jonas Mkude anatoa pasi |
![]() |
| Hoi, kocha Milovan kushoto na wachezaji wake kulia Mkude na Shomary Kapombe |
![]() |
| Hatari kwenye lango la Toto |
![]() |
| Sunzu akishughulika |
![]() |
| Mussa Said Kimbu akichuana na Kiemba anayeelekea kuangukia mpira |
![]() |
| Okwi alipangua safu yote ya ulinzi ya Toto, lakini akashindwa kufunga |
![]() |
| Okwi anawatoka mabeki wa Toto |
![]() |
| Mwinyi Kazimoto anaambaaa |
![]() |
| keita anamiliki mpira kulia |
![]() |
| Emmanuel Swita anaosha |
![]() |
| Refa Judith Gamba akimuinua mchezaji wa Toto |
![]() |
| Sunzu anataka kuingia yeye nyavuni baada ya kipa wa Toto kudaka mpira |
![]() |
| Haruna Chanongo na Mohamed Hussein wa Toto |
![]() |
| Chanongo akidhibitiwa |
![]() |
| Kikosi cha Toto leo |
![]() |
| Kikosi cha Simba leo |
![]() |
| Kipa wa Toto, Erick Ngwengwe akidaka mpira mbele ya Okwi na Sunzu |
![]() |
| Ngwengwe akidaka mpira mbele ya Sunzu |
![]() |
| Ngwengwe akidaka mpira mbele ya Okwi.. |































No comments:
Post a Comment