Mshambuliaji wa Real Madrid, Luka Modric, akiifungia timu yake
bao la kwanza la kusawazisha dhidi ya Manchester United, katika dakika
ya 66, kabla ya Christian Ronaldo, kumaliza kazi kwa kuifungia timu hiyo
bao la pili na la ushindi katika dakika ya 69.
Nahodha wa Real Madrid, Sergio Ramos (katikati) akijifunga bao,
kufuatia mpira uliopigwa na Luis Nani, na kumchanganya kipa wake, Diego
Lopez, wakati wa mchhezo wa Ligi ya Mabingwa uliochezwa kwenye Uwanja
wa Old Trafford, jijini Manchester, leo.
Luis Nani, akishangilia bao baada ya beki wa Madrid kujifunga.
Wakati wakenya wakiendelea kusubiri kutangazwa kwa matokeo ya
jumla ya uchaguzi mkuu nchini humo mara baada ya zoezi la kupiga kura
kukamilika hapo jana,matokeo ya awali ya uchaguzi huo yanaonesha kuwa
mgombea urais kwa tiketi ya muungano wa Jubilee, Uhuru Kenyatta
anaongoza kwa asilimia 54.60% akifuatiwa na Raila Odinga wa muungano wa
Cord mwenye asilimia 40.30% matokeo ambayo hata hivyo yanabadilika
kadiri muda unavyozidi kusonga.
Usiku kucha matokeo ya uchaguzi huo yameendelea kukusanywa
kutoka katika vituo vya kupigia kura huku karibu theluthi ya vituo vya
kupigia kura vikituma matokeo majira ya asubuhi leo Jumanne.
Wapiga kura hiyo jana walisimama katika mistari kadhaa yenye umbali
wa mamia ya mita wakiendelea kungoja kwa amani nje ya vituo vya kupigia
kura kukamilisha zoezi hilo katika uchaguzi unaodaiwa kuwa na utata
kuliko chaguzi zilizowahi kutokea nchini Kenya.
Aidha kabla ya zoezi la kupiga kura vurugu za umwagaji damu
zilitokea katika eneo la Pwani mjini Mombasa ambapo polisi sita na
washambuliaji sita waliuawa katika mashambulizi mawili tofauti, huku
mabomu kadhaa yakilipuliwa na kumjeruhi mtu mmoja huko Mandera mpakani
na Somalia.
Thousands
of people have come out onto the streets of Venezuela's capital Caracas
to pay tribute to President Hugo Chavez, who died on Tuesday.
A procession accompanying Mr Chavez's coffin took more than
six hours to reach the Military Academy where he will lie in state until
Friday.
The government has announced seven days of mourning for the president.
Mr Chavez, a controversial figure and staunch critic of the US, was seriously ill with cancer for more than a year.
He died aged 58 on Tuesday after 14 years as president.
A self-proclaimed revolutionary, he inspired a left-wing revival across Latin America.
Dramatic images are being broadcast on Venezuelan TV stations,
as the hearse of Hugo Chavez crosses the city surrounded by a sea of
red flags. People are crying and sobbing, screaming the name of the late
president, many wearing red T-shirts and carrying his images.
"We carry you in our heart," said one woman sobbing on live television. "Long live Hugo Chavez," she screamed.
Foreign presidents, such as Bolivia's Evo Morales, are taking
part in the procession, together with Mr Chavez's family members, Vice
President Nicolas Maduro and all top government officials.
This is just the beginning of public events to mourn Mr
Chavez. The funeral will be held on Friday, and even greater crowds are
expected.
Latin American leaders are in
Caracas to pay their respects - among them President Cristina Fernandez
de Kirchner of Argentina, Jose Mujica of Uruguay and Evo Morales of
Bolivia.
Ecuador, Argentina, Brazil, Bolivia, Uruguay, Chile, Cuba and
the Caribbean island of Dominica have declared periods of official
mourning.
Another Chavez ally, Iranian President Mahmoud Ahmadinejad, also announced a day of mourning, describing him as a "martyr". 'To the pantheon'
On Wednesday morning, a priest prayed for eternal rest for Mr
Chavez in a brief ceremony at the hospital where he died on Tuesday.
Officials then put the flag-draped coffin on top of a waiting hearse surrounded by crowds.
The procession began its slow 8km (five-mile) journey through
the streets of Caracas, led by officials including Vice-President
Nicolas Maduro and accompanied by cheering red-clad supporters.
Some shouted "Chavez to the pantheon", referring to the mausoleum he built for revolutionary leader Simon Bolivar. Continue reading the main story
Baada
ya kuichapa timu ya Kagera Sugar kwa bao 1-0 katika mchezo uliopita
mwishoni wa wiki, timu ya Young Africans Sports Club itashuka dimbani
siku ya jumamosi kucheza na timu ya Toto Africans ya kutoka jijini
Mwanza, mchezo utakaofanyika katika dimba la Uwanja wa Taifa jijini Dar
es salaam kuanzia majira ya saa 10 jioni.
Kikosi cha Young Africans kilipokuwa kambini nchini Uturuki
YANGA YAENDELEA KUJIFUA
Kikosi
cha timu ya Young Africans leo kimeendelea na mazoezi asubuhi katika
uwanja wa mabatini Kijitonyama kujiandaa na mchezo wa mzunguko wa pili
wa Ligi ya Vodacom dhidi ya timu ya Toto African siku ya jumamosi Machi
09 ,2013 katika dimba la Uwanja wa Taifa jijini Dar es salaam.
Kikosi cha Young Africans kilipokuwa katika kambi ya mafunzo nchini Uturuki
YANGA YAENDELEA NA MAZOEZI
Kikosi
cha timu ya Young Africans leo kimeendelea na mazoezi katika katika
uwanja wa mabatini Kijitonyama kujiandaa na mchezo namba 135 wa mzunguko
wa pili wa Ligi ya Vodacom dhidi ya timu ya Toto African siku ya
jumamosi Machi 09 ,2013 katika dimba la Uwanja wa Taifa jijini Dar es
salaam.
Bao
lililofungwa na kiungo wa kimataifa raia wa Rwanda Haruna Niyonzima
dakika ya 66 ya mchezo, limeifanya timu ya Young Africans kuendelea
kujikita kileleni mwa msimamo wa Ligi Kuu ya Vodacom nchini Tanzania
bada ya kuichapa timu ya Kagera Sugar kwa bao 1-0 katika mchezo
uliofanyika leo katika Uwanja wa Taifa jijini Dar es salaam.
MECHI namba 120 ya Ligi Kuu ya Vodacom iliyochezwa jana (Februari 23
mwaka huu) kwenye Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam na kumalizika kwa Yanga
kuibuka ushindi wa bao 1-0 dhidi ya Azam imeingiza sh. 239,686,000.
Na Edo Kumwembe
BAADHI ya mastaa wa kikosi cha kwanza, Simba (majina tunayo)
wamesema hawana imani na mbinu za Kocha Mkuu Patrick Liewig na hilo
limethibitika zaidi katika mchezo wao wa Angola.
Mwishoni mwa wiki, Simba ilishambuliwa na kipigo
cha mabao 4-0 kutoka Recreativo Libolo ya Angola katika mchezo wa
marudiano Ligi ya Mabingwa Afrika.
Matokeo hayo yanaifanya Simba kuaga mashindano
raundi ya...Read More
Neymar amesema kwamba anaweza kwenda kucheza soka barani ulaya hata
kabla ya mkataba wake na Santos unaoisha baada ya kombe la dunia mwakani
kuisha.
Mbrazil huyo amesema kwamba ana furaha kuwepo Santos lakini anaweza
kuondoka ikiwa atajisikia yeye binafsi kwamba ni kitu sahihi kukifanya
kwa muda huo.
Mpaka sasa, Neymar amekuwa akiripotiwa kwamba hatoondoka Santos mpaka
kuisha kwa 2014 World Cup litakalofanyika...Read More
Taarifa za ndani kutoka kwenye chanzo cha kuaminika ni kwamba kikao cha
serikali kupitia wizara ya habari na michezo na shirikisho la soka
nchini kuzungumza juu ya suala la serikali kuondoa usajili wa katiba
mpya ya TFF kimeishia kwa serikali kuliagiza shirikisho hilo kuwataarifu
wanachama juu ya mkutano mkuu ndani ya siku 5 zijazo, na kuandaa
mkutano wa kufanya mabadiliko...Read More
Katika kusherehekea kutimiza miaka 28 ya kuzaliwa kwake siku ya jumamosi
iliyopita, mchezaji wa timu ya mchezo american football Red Bull Reggie
Bush alipewa ofa ya kwenda kuangalia El classico nchini Spain kati ya
Real Madrid na Barcelona.
Real Madrid wakashinda 2-1 kwenye uwanja wao wa nyumbani Santiago
Bernebeu, lakini walishindwa kumzuia Messi asifunge goli ake la 39
kwenye La Liga....Read More